Saturday, 17 March 2018

S Shalom TV

Meza ya Askofu ~ Sehemu ya 2 ~ na Edina Malisa

User Rating: 0 / 5

Star InactiveStar InactiveStar InactiveStar InactiveStar Inactive
 
SHALOM TV TANZANIA KIPINDI CHA MEZA YA ASKOFU ~ SEHEMU YA 2 ~ Ujumbe wa Jumapili hii ni kuhusu "Maana ya Kuabudu na Mazingira mapya ya kuabudia." Askofu Sylvester Gamanywa anatarajia kufundisha ujumbe huu Jumapili hii ya Tarehe 16-07-2017, mahali hapa kwenye ukumbi wa BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dar es Salaam. Ibada inaanza saa 4:00Asubuhi hadi saa 7:30mchana. WALENGWA NI WATU WOTE WENYE DINI ZOTE NA WASIO NA DINI, MNAKARIBISHWA. USIKOSE!

Need To Reach Us?

Email:

info@wapo.or.tz

Phone:

|+255 766 777 126 |
|+255 713 649 865 |
|+255 712 249 724 |
Do you need JESUS? Click here

Who's Online

We have 30 guests and no members online