Saturday, 17 March 2018

S Shalom TV

KIPINDI MAALUM 25 06 2017 Shalom TV Tanzania

User Rating: 0 / 5

Star InactiveStar InactiveStar InactiveStar InactiveStar Inactive
 
SHALOM TV TANZANIA KIPINDI MAALUM Hitimisho la ujumbe wa kinabii Jumapili ya Tarehe 02-07-2017. Askofu Sylvester Gamanywa atahitimisha ujumbe huu wa kinabii wiki hii, na kuanzia Jumatatu ya tarehe 26-06-2017 atakuwa na semina maalum ya ujumbe wa kinabii kila siku na kilele chake ni Jumapili hii na Usikose semina hii. Pia nakukaribisha Jumapili BCIC Mbezi Beach, Jogoo, Dar es Salaam, Ibada inaanza saa 4:00Asubuhi hadi saa 7:00mchana.

Need To Reach Us?

Email:

info@wapo.or.tz

Phone:

|+255 766 777 126 |
|+255 713 649 865 |
|+255 712 249 724 |
Do you need JESUS? Click here

Who's Online

We have 28 guests and no members online